Kikaren cha Geba

Kikaren ya Geba ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar inayozungumzwa na Wakaren. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikaren ya Geba imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikaren ya Geba iko katika kundi la Kikareniki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search